Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

Neno la Ukaribisho

Karibu katika tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, mahala ambapo utapata taarifa muhimu na utakazohitaji, kama vile mipango ya Maendeleo na utekelezaji wake kwa kila mwaka. Hizi zote ni jitihada za pamoja kati ya Waheshimiwa Madiwani , Watumishi , Jamii na wadau mbalimbali, katika kuleta matokeo chanya kwa wananchi wa Temeke.