Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

Maji

Idara ya maji

Taarifa fupi ya idara

Idara ya maji ni moja kati ya Idara 13 zilizopo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Temeke . Idara in jumla ya watumishi 23 na inaongozwa na Mhandisi wa maji

Idara ya maji imegawanyika katika sehemu kuu tatu zinozongozwa na Wahandisi wa Maji/Ujenzi kama ifuatavyo;

· Mipango na usanfu,

· Ujenzi,

· Uendeshaji na matengenezo.