Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

Elimu ya secondary

Elimu sekondari

Majukumu

1

Kubuni mikakati ya kuinua na kuboresha kiwango cha Elimu ya sekondari

2

usimamia utekelezaji wa sera ya Elimu ya Taifa (BRN)

3

Kuhakikisha michezo na vifaa vya michezo vinakuepo katika shule

4

Kuimarisha na kusimamia mpango wa maendeleo wa Elimu ya sekondari  (MMES)