Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

Elimu ya Msingi

Idara ya elimu msingi

kazi zake:

Idara ya Elimu Msingi inawajibika kisheria kusimamia na kutoa Elimu bora katika ngazi zifuatazo

* Elimu ya awali

Hii inatolewa kwa watoto wenye umri wa miaka 5-6

* Elimu ya msingi

Hii inatolewa kwa watoto kuanzia miaka 7 kwa wavulana na miaka 6 kwa wasichana hadi wanapohitimu Elimu ya Msingi, kuanzia mwaka 2002 Serikali imekuwa ikitekeleza Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM), hii pia imesababisha ongezeko la wanafunzi.