Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

mifugo

UTANGULIZI

Idara ya Mifugo na Uvuvi Manispaa ya Temeke  imeanza kazi rasmi kama idara mwaka 2013 January, baada kugawanywa kutoka kwa iliyokuwa Idara ya Kilimo na Mifugo.  Idara inafanya kazi ikiwa na mkuu wa idara,  SMS’ na wagani katika kata.

Katika utendaji kazi sehemu ya mifugo  inajishughulisha na utoaji Elimuya Ughani kwa wafugaji, na wavuvi,Tiba na Chajo kwa Ng’ombe, Mbuzi, Kondoo,Kuku, Nguruwe, Farasi, Ngamia,Sungura,Pimbi, Bata na wanyama wengine ambao ni Mbwa na Paka pamoja na mazao yatokanayo na Mifugo hiyo.Inajishughulisha pia na Uhamilishaji, Ukaguzi wa nyama na ngozi Takwimu, Usimamiaji Uongozaji na Urekebishaji wa wa huduma za matibabu yatolewayo na watu binafsi,Utambuzi Uchunguzi na uzuiaji kuenea kwa magonjwa ya mifugo, Ufuatliaji na ukaguzi wa vyakula vya mifugo,Pia inajishugulisha na usimamiaji na uendelezaji wa miradi mbalimbali ya ufugaji na utoaji wa mafunzo na ushauri kwa wafugaji mmoja mmoja na vikundi.

AINA NA IDADI YA WANYAMA WALIOPO KATIKA MANISPAA YA TEMEKE 2005 -2014

AINA ZA WANYAMA

2005

2006

2007

2008

2009

2010

2011

2012

2013

2014

NG’OMBE WA ASILI

5473

5656

5848

5945

6258

6587

6916

7245

8756

9271

NG’OMBE WA KISASA

5518

5808

6103

6424

6762

7129

7485

7759

8645

9000

MBUZI WA ASILI

1840

1937

2039

2146

2996

3154

3812

4350

5174

5433

MBUZI WA KISASA

-

-

-

-

-

-

-

48

68

89

KONDOO

1368

1440

1516

1596

1681

1769

1857

2543

3742

3829

NGURUWE

1704

1794

1888

1987

7355

7742

7123

7216

7565

7943

KUKU WA ASILI

4386

4617

4860

5116

5491

5675

8563

166335

185457

184709

KUKU WA NYAMA

103128

109082

114823

120866

126175

132816

139457

154579

1230370

1291889

KUKU WA MAYAI

150000

157500

165375

173644

182326

191442

201014

211064

221617

232698

MABATA

1237

1300

1368

1441

1517

1592

1672

2345

3125

3281

MBWA

1357

1429

1504

1573

1656

3813

4004

4215

4752

4990

FARASI

12

13

14

15

16

17

25

40

54

57

PUNDA

8

8

9

10

11

22

25

49

54

57

NGAMIA

26

27

29

31

33

35

40

48

79

101

IDADI YA NG’OMBE WALIOPANDISHWA KWA CHUPA KATIKA MANISPAA YA TEMEKE 2005 – 2014

ENEO

2005

2006

2007

2008

2009

.news_title{ font-family: monospace; font-size: 20px; font-weight: 400; color: #08c; position: relative; top: 14px; left: 4px; }