Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

Sheria

Kitengo cha sheria na usalama

Majukumu

Kumshauri Mkurugenzi na wakuu wa idara katika masuala yote ya kisheria katika Halmashauri

Kusimamia utekelezaji wa sheria za nchi

Kuandaa, kutunza na kusimamia utekelezaji wa mikataba ya Manispaa

Kuiwakilisha Manispaa katika mashauri yote Mahakamani

Kuratibu shughuli za usalama na ulinzi wa umma

Kusimamia na kuratibu mabaraza ya kata

Kuandaa na kusimamia rasimu za Sheria ndogo za Manispaa